FURSA: Una wazo la biashara lakini hauna mtaji? Pitia hapa

AbaMukulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
2,053
Reaction score
3,586
Mzee Reginald Mengi ametangaza fursa ya mtaji wa $ 20 000/- kwa vijana walio chini ya miaka 35. Watahitajika vijana wawili ambao kila mmoja atakunja $ 20 000/
 
Baki na idea yako ndani itakuletea mamilioni.

Kwani hujui namna ya kuilinda idea yako isiibiwe? Hakuna wanasheria?

Mawazo potofu yanafanya watu wafe maskini.

Kuna haja ya vijana kufundishwa kuhusu 'Venture Capital'
 
Tunatuma kwa kiingereza au kwa kiswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…