Fursa; usambazaji wa vinywaji vikali

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Habari zenu wadau, Mimi ni kijana nimejiajiri kwenye sekta binafsi lakini pia nina kampuni yangu nimefungua, Sasa natafuta Client yoyote ambaye naweza kushirikiana nae kufanya biashara ya vinywaji vikali.

Documents zote zipo;

1. TIN
2. TAX CLEARANCE (ya 2024)
3. LIQUOR LICENSE
4. OTHER BRELA DOCUMENTS.

Kama una kazi njoo Basi tuangalie namna gani ya kuingia makubaliano na kufanya kazi Ahsante sana

Mawasiliano yangu; 0710782874

(Kwa mtu ambaye yupo siriaz tu)
 
Ubatafuta mtu aongeze mtaji au unatafuta mteja wa vinywaji? maana hao wote ni client
Natafuta mtu wa kushirikiana nae, kwenye compliance nipo 100% clear, Sasa natafuta supplier au vendor tufanye kazi.... Sijui kama umenielewa Kaka. ? Yaani Kuna watu utakuta amekwama sababu ya compliance tu,Sasa tunafanya kazi on % basis
 
Unamaanisha afisa masoko sio??
 
Hebu fafanua huo ushirikiano. Wewe unatoa nini na unategemea business partner atoe nini?
 
Natafuta mtu wa kushirikiana nae, kwenye compliance nipo 100% clear, Sasa natafuta supplier au vendor tufanye kazi.... Sijui kama umenielewa Kaka. ? Yaani Kuna watu utakuta amekwama sababu ya compliance tu,Sasa tunafanya kazi on % basis
Bado hujaeleweka, hafu punguza kingereza ndo maana tunachelewa kukuelewa
 
Mimi nipo na duka kubwa la vinywaji vikali vya jumla jumla leta mzigo.
 
Natafuta mtu wa kushirikiana nae, kwenye compliance nipo 100% clear, Sasa natafuta supplier au vendor tufanye kazi.... Sijui kama umenielewa Kaka. ? Yaani Kuna watu utakuta amekwama sababu ya compliance tu,Sasa tunafanya kazi on % basis
Anhaa nimekuelewa, sikukatishi tamaa lakini paka mtu awe na mtaji anunue vinywaji vya kusambaza atashindwa kucomply na vitu vidogo vidogo kama TRA na halmashauri kweli.
 
Kama nimelewa vizuri basi jamaa anazo document tu, mtaji hana, anataka mtu mwenye mtaji.

Kama nimeweza kupata mtaji nitashindwa vipi kupata document stahiki kwa ajili ya biashara?

Ni sawa na uwe na full document zinazohitajika kwa ajili ya passport lakini bado unapitia kwa kishoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…