Fursa: Wajasiriamali,Viwanda vidogo na makampuni wanakaribishwa kuanza kuuza bidhaa kwa network marketing

Fursa: Wajasiriamali,Viwanda vidogo na makampuni wanakaribishwa kuanza kuuza bidhaa kwa network marketing

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Katikapitapita zangu nimekutana na vijana wabunifu wakiwa na program yao mahususi kwa Wajasiriamali,Viwanda vidogo na makampuni amabyo itawezesha kuuza biashara zao kwa njia ya soko la mtandao nakukuza mtaji.
Nimeipenda sana. Vijana wanahitaji support yetu.
Njoo DM.
 
Back
Top Bottom