Katikapitapita zangu nimekutana na vijana wabunifu wakiwa na program yao mahususi kwa Wajasiriamali,Viwanda vidogo na makampuni amabyo itawezesha kuuza biashara zao kwa njia ya soko la mtandao nakukuza mtaji.
Nimeipenda sana. Vijana wanahitaji support yetu.
Njoo DM.