Fursa: Wanaotaka kujiunga na kujifunza mchezo wa weightlifting(sio bodybuilding's) Tanzania

Joined
Sep 17, 2016
Posts
47
Reaction score
69
Hello habari kama Post inavyojieleza n hapo juu kwa wale woote watakaopenda kujiunga na mchezo huu wa kunyanyua vitu vizito Tanzania Tuawsliane hapa maelezo zaidi nipm: ( mchezo huu sio bodybuilding ila hata kama ni bodybuilders unataka kujiunga na kujifunza unakaribishwa pia
 

Ningekushauri ungeanza kwanza na hawa Watu wawili Herry Kisanduku Shayo na mwenzake Daniel Masambusi kwani watakusaidia kukutangaza na kukuletea Wateja wengine wengi tu Mkuu.
 
haya mambo ya PM siyo yenyewe,mwaga kila kitu hapa tufanye maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…