Fursa ya biashara DUbai

Fursa ya biashara DUbai

crunkstaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
331
Reaction score
159
Nawasalimu wakuu wa Jamii Forum,Kwa mwenye uzoefuna biashara Dubai Anaweza kunisaidia ili niweze kuchambua ni wapi nianzie.Kuna Mtu aliniambia kuwa Dubai vitu vinapatikana kwa bei ya kiwandani.
 
ungesama una uzoefu na biashara gani ndio ingekuwa rahisi wewe kusaidiwa.
dubai kuna kila aina ya biashara.
hata cement ukichukua Dubai ukija kuuza bongo hukosi faida.
_funguka sasa
 
ungesama una uzoefu na biashara gani ndio ingekuwa rahisi wewe kusaidiwa.
dubai kuna kila aina ya biashara.
hata cement ukichukua Dubai ukija kuuza bongo hukosi faida.
_funguka sasa

Habari Marire naomba funguka hapo upande wa Cement process zake inakuwa na step zipi inabidi kuzifanya mpaka kupata mzigo na kuupeleka Dar unaweza kwenda deep zaidi ili niweze kufunguka??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
msubiri au pm kaka yetu lakisababa ndio atakufahamisha vzr
 
Kuna uzi ulishawekwa hapa unaohusiana na biashara Dubai hivo kama sio mvivu utafute ujifunze mengi na mwingine unaelezea biashara za Thailand na Uganda na China au wausbiri waelewa wakueleweshe
 
Nawasalimu wakuu wa Jamii Forum,Kwa mwenye uzoefuna biashara Dubai Anaweza kunisaidia ili niweze kuchambua ni wapi nianzie.Kuna Mtu aliniambia kuwa Dubai vitu vinapatikana kwa bei ya kiwandani.

Mtafute huyu mtu +971504374387 aliaanamba yake humu yupo Dubai ana msaada sana.
 
Back
Top Bottom