ungesama una uzoefu na biashara gani ndio ingekuwa rahisi wewe kusaidiwa.
dubai kuna kila aina ya biashara.
hata cement ukichukua Dubai ukija kuuza bongo hukosi faida.
_funguka sasa
Nawasalimu wakuu wa Jamii Forum,Kwa mwenye uzoefuna biashara Dubai Anaweza kunisaidia ili niweze kuchambua ni wapi nianzie.Kuna Mtu aliniambia kuwa Dubai vitu vinapatikana kwa bei ya kiwandani.