mmasai halisi
Member
- Apr 9, 2014
- 55
- 12
Wakuu habari za asubuhi! Mimi ni mgeni jukwaa hili japokuwa nimekuwa nikiingia kama mgeni (guest) Kwa muda sasa, ninaomba Kwa mwenye uelewa na fursa za biashara kati ya India na Tanzania Kwa sisi wenye mitaji midogo midogo. Ahsanteni