Fursa ya biashara kutoka oriflame

MamaaRehema

Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
78
Reaction score
18
Nini utajiongezea ukiwa kama oriflame consultant?
1) Utajifunza jinsi ya kutumia bidhaa na training mbalimbali za urembo ambazo ukienda saluni au kufundishwa lazima ulipie hela ndefu lakini huku utazipata buree kabisa. Mfano facial care kuipata hii lazima ulipie hela ndefu ila kwetu utafundishwa bure

2)Urembo na makeup ni madarasa ambayo pia hupatikana tena mara nyingi ni bure kabisa kwani hii ni sehemu ya kazi yetu.

3) Utapata kujifunza confidence hata kama huwezi kuongea na watu kupitia biashara yetu utapata confidence ya kuongea na kuface watu kwani utaandaliwa ili kuwa presenter wa mada mbalimbali.

4)Utaweza fanya biashara mbayo inaweza kukuingizia kipato kizur kwa mwezi, kwani utapata nafasi ya kualika wengine na wakajiunga chini yako na kufanya biashara kampuni ndio itakayokulipa kwa mwezi.

5) utaweza kuandaa seminar na event mbalimbali wakati ushajifunza presentation na confidence.

6) Utaweza endeleza au kufungua biashara mfanano wa oriflame mfano utaweza tumia shampoo and conditioner za oriflame ktk saluni yako, facial or massage therapy ama make up things kwaajili ya kupamba watu make up.

7) Utajiongeza mwenyewe kwa kuwa inspired na watu waliofanikiwa katika biashara hii.

8) Karibu uwe mkaka au mdada, mfanyakazi, mwanafunzi wa chuo n.k sharti uwe na miaka 18+

9) Kila jumamosi kuna seminar ya fursa ya biashara kutoka oriflame maeneo ya Morocco ya airtel saa 5:00 asubuh.
Njoo usikilize semina ujiongeze elimu na maarifa semina ni bure na baada ya seminar utafanya maamuzi yako sahihi.

10) Kwa mawasiliano tumia whatsapp/ call/ text 0717 343635
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…