Fursa ya Biashara kwa mwanachuo mwanamke dar,Moro au dom

Abbitto

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
547
Reaction score
747
Nampango wa kuanza Biashara ya sandal za kimasai og, nilishafanya sana hii bus ila nilikuwa nazichukulia hapa hapa tz hazikuwa imara kivile lkn kwa sasa nataka kuzifata abroad.
Natafuta mdada mwanachuo ambaye nitakuwa namuuzia kwa jumla iwe ni hizo sandal au vikoi.
Anayehitaji tuongee aje pm
 
Hiii biz Ni nzuri Sana na inalipa ukiifanya huku unanidhamu ya pesa..... Hizo unazozichukulia nje unazichukulia wapi???Kenya au??
 
Mwanzoni nilikuwa nachukulia arusha ila wateja walikuwa wanalalamikia ubora ila now nataka niende nilafate Mombasa zile ni durable nakumbuka kuna kipindi nilinunuaga sandal ilikaa zaidi ya miaka miwili na hapo kwenye mvua jua Niko nazo
 
Kama si mwanachuo lakini ana interest na fursa vipi nije pm
 
Nampango wa kuanza Biashara ya sandal za kimasai og, nilishafanya sana hii bus ila nilikuwa nazichukulia hapa hapa tz hazikuwa imara kivile lkn kwa sasa nataka kuzifata abroad.
Natafuta mdada mwanachuo ambaye nitakuwa namuuzia kwa jumla iwe ni hizo sandal au vikoi.
Anayehitaji tuongee aje pm
Niko interested
 
Back
Top Bottom