Hiii biz Ni nzuri Sana na inalipa ukiifanya huku unanidhamu ya pesa..... Hizo unazozichukulia nje unazichukulia wapi???Kenya au??Nampango wa kuanza Biashara ya sandal za kimasai og, nilishafanya sana hii bus ila nilikuwa nazichukulia hapa hapa tz hazikuwa imara kivile lkn kwa sasa nataka kuzifata abroad.
Natafuta mdada mwanachuo ambaye nitakuwa namuuzia kwa jumla iwe ni hizo sandal au vikoi.
Anayehitaji tuongee aje pm
Mwanzoni nilikuwa nachukulia arusha ila wateja walikuwa wanalalamikia ubora ila now nataka niende nilafate Mombasa zile ni durable nakumbuka kuna kipindi nilinunuaga sandal ilikaa zaidi ya miaka miwili na hapo kwenye mvua jua Niko nazoHiii biz Ni nzuri Sana na inalipa ukiifanya huku unanidhamu ya pesa..... Hizo unazozichukulia nje unazichukulia wapi???Kenya au??
Mwanzoni nilikuwa nachukulia arusha ila wateja walikuwa wanalalamikia ubora ila now nataka niende nilafate Mombasa zile ni durable nakumbuka kuna kipindi nilinunuaga sandal ilikaa zaidi ya miaka miwili na hapo kwenye mvua jua Niko nazo
Niko interestedNampango wa kuanza Biashara ya sandal za kimasai og, nilishafanya sana hii bus ila nilikuwa nazichukulia hapa hapa tz hazikuwa imara kivile lkn kwa sasa nataka kuzifata abroad.
Natafuta mdada mwanachuo ambaye nitakuwa namuuzia kwa jumla iwe ni hizo sandal au vikoi.
Anayehitaji tuongee aje pm