mwananyiha
JF-Expert Member
- Mar 11, 2008
- 248
- 43
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli kabisa ndio maana contact zipo wazi kwa anayehitaji tu.sio kila jambo ni la siri mengine yawe wazi tu
Fursa hizi zimetolewa kwa wingi na mtandao wa simu wa Zantel namna ya kuzipata kwa aliye serious awasiliane nami kwa namba hizi 0773337466. Unaweza ku sms tu 'JF' nitakuwa nimeshakuelewa.
Ingawa si msemaji wa Jf lakini niseme hawaja nituma wala kinachofanyika hakina uhusiano na jf. Hapa pametumika kama uwanja tu wa kukutania. Na pia nimeweka hivyo mtu asipate taabu ya kutoa maelezo marefu badala yake hiki kifupisho kinakuwa kimesha eleza ni wapi tumekutana. Na kwa kumbukumbu zangu jf huwa wanadai contact wakati unajiunga sijui wewe wakati wa kujiunga kama utaratibu ulikuwa umebadilika.Weka mambo hadharani. Au umetumwa kukusanya namba za wanachama wa JF?
Ulisoma vizuri maelezo ya mwanzo?biashara ya sembe aka bwimbwi.
Nilishajibu hoja hiiweka hadharan tufaid wengi
Kuongelea kitu ambacho huna uhakika nacho ni kiipotosha jamii.Nadhani ni ile biashara ya 'zantel marketing' sina hakika sana na hilo jina ni kwamba unapata line ya zantel then unaunganisha watu 5 kwa kila hao 5 unapata shilingi 30,000 jumla 150,000 kwenye akaunti yako na hao 5 wakiunganisha 5 kila mmoja wanakuwa 25 basi kwa kila hao 25 unapata shilingi 4,000 then hao 25 wakiunganisha 5 wanakuwa 125, basi kwa kila hao 125 unapata shilingi 2,000 kwenye akaunti yako milele...mie sijajiunga ila nlishapewa darasa kidogo
Zantel huwa hawauzi laini zao. Unapewa bure kabisa unachonunua ni mda wa maongezi kwa hiyo ukiwa na 1000 unaweza kupata laini mpya yenye mda wa maongezi ya huo mda. Kwa hiyo usipotoshe watu.Hiyo line ya zantel kama sikosei ni unanunua kwa shilingi 72,000
Zantel huwa hawauzi laini zao. Unapewa bure kabisa unachonunua ni mda wa maongezi kwa hiyo ukiwa na 1000 unaweza kupata laini mpya yenye mda wa maongezi ya huo mda. Kwa hiyo usipotoshe watu.
Kuongelea kitu ambacho huna uhakika nacho ni kiipotosha jamii.
Sasa haya ni mashindano, na mi sipo kushindana kwa wingi wa post.Sasa kwa nini usiwaeleze watu kwamba unatafuta wajiunge ili uanze kupata pesa kwa migongo yao, waambie ukweli kwamba hii biashara haina tofauti kubwa na forever living, tofauti ni products tu.
Umeshaambiwa ni Zantel sasa hizo biashara zingine mimi sijui. Wenye nia wanawasiliana nami na wengine wameshaanza kutengeneza pesa kupitia Zantel.Ili kuepusha malumbano kuwa marefu, mtoa mada nakushauri uweke kila kitu hadharani kwa maana ya hiyo fursa uliyonayo, tuepuke mambo ya njoo 'chumbani' otherwise hiyo fursa labda ni uchawi au biashara ya viungo vya albino!
huna lolotesi wote wanaohitaji wengine wamesharidhika pale walipo na wengine wanapendele kwenye sekta zingine. Hivyo anayehitaji ni kazi ndogo tu ya kutuma sms kama nilivyoeleza.
Sina lolote kivipi? Mi natangaza fursa nyingine na watu mnanilazimisha zilizo kwenye mawazo yenu. Mi nasisitiza ni Zantel zingine unazotaja wewe na wengine hapo juu sihusiki nazo. Wenye macho ya kuona fursa wanatengeneza pesa sasa.huna lolote
forever living wewe
kama ukweli si uwe wazi sasa mbn unaleta uhuni mkuuuSina lolote kivipi? Mi natangaza fursa nyingine na watu mnanilazimisha zilizo kwenye mawazo yenu. Mi nasisitiza ni Zantel zingine unazotaja wewe na wengine hapo juu sihusiki nazo. Wenye macho ya kuona fursa wanatengeneza pesa sasa.
Wewe huna nia. Wenye nia nawasiliana nao na wanaokuwa tayari wanaanza kazi mara moja na hivyo kujiongezea kipato. Unatumia lugha ya maudhi ili nikasirike lakini mi si mwingi wa hasira. Pengine ni kutokana na umri wako ndio maana unatumia lugha za aina hii.kama ukweli si uwe wazi sasa mbn unaleta uhuni mkuuu
unafanya biashara unaogopa hata kuiuza kwa watu bana sema sasa