huna lolote unajishaua tu kama kweli si uwe wazi biashara gani za vificho hzo?watu mnafanya biashara mnaogopa hadi kuzisema manina what a shameWewe huna nia. Wenye nia nawasiliana nao na wanaokuwa tayari wanaanza kazi mara moja na hivyo kujiongezea kipato. Unatumia lugha ya maudhi ili nikasirike lakini mi si mwingi wa hasira. Pengine ni kutokana na umri wako ndio maana unatumia lugha za aina hii.
Fursa hizi zimetolewa kwa wingi na mtandao wa simu wa Zantel namna ya kuzipata kwa aliye serious awasiliane nami kwa namba hizi 0773337466. Unaweza ku sms tu 'JF' nitakuwa nimeshakuelewa.
Ndugu zangu na classmates pekee hawatoshi kwani Zantel inaoparate nchi nzima. Pia unaweza kufanya utafiti mdogo kujua ukweli maana umasikini mwingine unasababishwa na HOFU zisizo na mashiko.Hi biashara itakuwa ni upuzi tu,maana biashara yyte ni fursa adhimu.unasema kupiga pesa mbona hujawachukua ndugu zako,kuna watu wangapi wenye uthamani kwako wangpi kwako mpaka utuone sisi wa huku Jf,kuna ndugu zako,marafiki,classmet zako.acha uhuni wewe.namba yako kusajiliwa TCRA sio kigezo cha kukuamini wewe.mlisha jua tanzania kuna tatizo la ajira imekuwa kama gia za kuingilia.poor Tanzania
Kwa hatua hii tu inatosha kwa wanaohitaji kuweza kunitafuta na wamekuwa wakifanya hivyo.Naamini walioridhika hawatakutafuta, wahitaji ndio watakutafuta. So weka hapa watu tuone...
Fursa hizi zimetolewa kwa wingi na mtandao wa simu wa Zantel namna ya kuzipata kwa aliye serious awasiliane nami kwa namba hizi 0773337466. Unaweza ku sms tu 'JF' nitakuwa nimeshakuelewa.
Ni kweli ipo poa. Na mnakaribishwa leo Ubungo Plaza kwenye uzinduzi wa kitaifa kuanzia saa 4 asubuhi hii. Kiingilio kwa kila mmoja ni namba R87288.Nishaisikia iko poa sana
ni kweli ipo poa. Na mnakaribishwa leo ubungo plaza kwenye uzinduzi wa kitaifa kuanzia saa 4 asubuhi hii. Kiingilio kwa kila mmoja ni namba r87288.
Ukifanya ulinganisho wa uanzishaji wa biashara nyingine utagundua kuwa gharama hii ni ndogo sana.rifalo africa? Mpango huo ni mzuri sana lakini mnatenga ndugu zetu masikini wasiokuwa na uwezo wa kupata hela ya uanachama.
Waambieni wapunguze gharama, watu wengi wanapenda ila ka amount kako juu.
Inahusisha nchi nzima we fuata tu maelekezo bila kujali upo sehemu gani ya nchi.Mngefanya Hata Kutupa Kwa Ufupi Ni Aina Gan Ya Biashara,namna Ya Kuiendesha Na Namna Ya Kujiunga,inatuwia Vigumu Kwa Sie Ambao Tuko Nje Ya Dar Kuifahamu.