Fursa ya biashara mozambique

waukweli100

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
193
Reaction score
24
nina idea ya biashara nchini mozambique,ila tatizo ni mtaji,natafuta mzamini kwa wale wafanyabiashara wakubwa wenye bidhaa kama nguo za duka za kike na zakiume,wax,belo za nguo za watoto za mtumba,belo viatu vya kitoto vya mtumba,nguo za watoto za duka,nk mwenye navyo navyo na unahitaji kupanua wigo wa biashara nicheck kwa number 0718375766
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…