Fursa ya biashara Mwanza leo

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
114
Reaction score
21
fursa ya biashara Mwanza. Kampuni mpya ya Network marketing inayoanza hapa Tanzania kwa mara ya kwanza tuko mwanza na tunahitaji brand new leaders ambao watakuwa top earners hapa Tanzania.
Ni biashara ambayo iko tofauti sana na biashara nyingine zoote za mtandao ambazo umewahi kuzisikia hapa Tanzania.
Huna haja ya kuhangaika na products, enrollment fee ni ndogo na vipato ni vikubwa tunalipa kwa dola za kimarekani na unafunguliwa website bure ndani ya saa 24 kwa jina lako kutoka USA.

Tutakuwa na Great leader toka Nigeria ambaye atafanya presentation leo La KAIRO HOTEL kuanzia saa 11 jioni, hakuna kiingilio.Haya sasa kazi ni kwako changamkia fursa na uje upate picha kubwa ya biashara,

Unaweza kunichek kwa namba 0784 162979 kwa maelekezo.
 
Great Leader?kutoka Nigeria?mmmhhh , Afrika Magharibi Mhhh
Kila la Kheir.

Haya tupe website yenu,landline numbers na email address pia company profile.
Ili mtu ajiu mnafanya nini,.
Na pia mmejisajili wapi?
 
Daaah,,,vyote nimeafiki kasoro viwili,,jina la kampuni eti network marketing,,pili huyo great leader??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…