Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro


Asante sanaa kwa sababu una fungua akili tulio kua tume lala[emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491]
 
Asante sana
 
Safi sana huo ndio uzalendo. Nikija pata unyerere nitakuja kupa uwaziri wa biashara.
 
Kwa sasa kuna meli inakuja huko inaitwa AZAM COMORO.
Gharama ya kusafirisha mzigo inachajiwa kwa Cubic Metres(CBM) au eneo la mraba.
 
Ni Kweli hakuna meli ya kubeba frozen meat au vegetables.
Ila wafanyabiashara wanaweza wakakodi Reefer Container na wakaweka frozen goods na wakaongea na mmiliki ili hiyo container ipatiwe nguvu ya umeme ili mzigo usiharibike mpaka meli ifike Comorro.
 
Hapa kwenye kukodi meli naweza nikawapa ushauri kama mnataka mkodi meli itabidi mkodi kwa trip (Voyage Charter) hii itakuwa nafuu kwenu.

Kama mmejikusanya tayari na mnajua kila mtu ana mzigo kiasi gani mnaweza mkatafuta meli au mkamshawishi mmiliki mfanye booking ya space ya mzigo na mkakodi kwa space ambayo kila mtu atapakia mzigo wake. Hii ni mpaka pale Meli iwe na safari ya kwenda huko Comorro.
 
this is great
 
na vile ju umeandka bomba hata maneno haiko mob,be blessed
 
[emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…