Fursa ya biashara wilaya ya Sengerema

Fursa ya biashara wilaya ya Sengerema

topper

Member
Joined
Oct 6, 2017
Posts
10
Reaction score
2
Wapendwa wadau,

Niko Sengerema ni mwezi sasa, nahitaji kujua fursa nyeti zitakazoweza kuniingizia kipato iwe ni ya gari, kilimo na hata ujasiriamali.

Naomba mawazo yenu wana JamiiForums.
 
Angalia watu wengi hapo wanatatizo gani/wanataka nini nini mkuu
 
Kusanya plastic chakavu...kuna viwanda vitatu navifahamu vipo mwanza wananunua hizo mali
 
Kusanya plastic chakavu...kuna viwanda vitatu navifahamu vipo mwanza wananunua hizo mali
Thanks, je ni sehemu gani mwanza naweza kutembelea hivyo viwanda kwa ajili kupata ushauri zaidi?
 
Back
Top Bottom