Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Swali zuriVingunguti sehemu gani kiongozi...?
Uko sahihi mkuu, hiyo bei ni kwa kilo moja sio uume mmojaKwa kilo 1 elf 13 au kwa kila uume elfu 13
Maana mdau upo kazungumzia biashara inafanyika kwa kilo moja
Labda kwa uzoefu uume unakuwa na uzito gani?
Nimesahau panaitwaje mkuu, lakin nilipanda gari kutoka pale Buguluni hadi vingunguti mwisho wa gari.Vingunguti sehemu gani kiongozi...?
AhaahMaligafi ya kutengenezea simu za tecno hizo
Mkuu kilo moja inaweza chukua ngapi?Nimesahau panaitwaje mkuu, lakin nilipanda gari kutoka pale buguluni hadi vingunguti mwisho wa gari
Niache Nteseke endelea kuteseka sisi tunavumbua biashara motomoto....Aiseeee...!
Niache Nteseke endelea kuteseka sisi tunavumbua biashara motomoto....