Bossprota
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 336
- 373
Mimi naish Tunduma mkoan Songwe, huku kuna fulrsa kwa alietayari kuifanya nayo ni fursa ya kuuza maziwa lishe ya watoto lactogens mfano huku Tunduma yanauzwa tsh 13,000/= Lakin Mbeya na Iringa yanauzwa 23,000/= kwa kopo na wateja wakubwa ni vituo vya kulea watoto yatima kama upo tayari nicheki whatsap tufanye hizi mambo.
+255627380556
+255627380556