Fursa ya biashara

Bossprota

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
336
Reaction score
373
Mimi naish Tunduma mkoan Songwe, huku kuna fulrsa kwa alietayari kuifanya nayo ni fursa ya kuuza maziwa lishe ya watoto lactogens mfano huku Tunduma yanauzwa tsh 13,000/= Lakin Mbeya na Iringa yanauzwa 23,000/= kwa kopo na wateja wakubwa ni vituo vya kulea watoto yatima kama upo tayari nicheki whatsap tufanye hizi mambo.

+255627380556
 
Hiyo lactogen 1 kuna ya South Africa na ya Ufaransa. Je zinauzwaje huko kila moja. Hapa Dar wanauza 25000 Tzs kwa hizo za ufaransa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…