Kwa wale wenye Connections ama kuhitaji kuwekeza eneo jipya linalokuwa kiuchumi wa Gesi na Cement ya Dangote Mtwara tunawatangazia kuuza Eneo zuri la Kibiashara
Ukubwa-22,700 Sq Mtrs
Location-Mangamba area,Barabara ya kuelekea Msimbati na Msumbiji
Distance-Around 5km kutoka Mtwara mjini upande wa kushoto along the Main road
Resources available
-Umeme wa Grid unapatikana
-Maji ya Bomba yanapatikana
Interested parties may obtain more details by contacting numbers below
+255 758 000000
+255 716 333333
Karibuni!