Mkuu barabara ya 5, Tanga haturudi tena, umeamua kuselea huko unyamwezini?
Anyways, jokes aside....palm trees farming ni lifetime investment, not just fursa....fursa ni hizi opportunity za hapa na pale...with palm trees, your life after work is largely guaranteed.
Ushauri wangu....
1. Epuka short termism ukitaka kuwekeza kwenye mazao ya miti kama chikichi...mfano hiyo michikichi ya kisasa umeiona wapi watu wanailima na wanavuna baada ya miaka hiyo mi 3?...angalia usigeuzwe Guinea pig wa wataalamu feki kufanyia majaribio shambani kwako...panda mbegu ambayo hakika itakupa mazao. Michikichi ya kienyeji will take about 7 years mpaka kuanza kukupa mazao but they're proven! Think and make a realistic decision, the get rich quick schemes don't work in real life!
2. Hakikisha una access ya wataalamu karibu na pia around you kuwe na farmers wa zao hilo...kuanzia kaliua kule chikichi zipo, I believe wataalamu wapo na wakulima wapo. Wataalamu watakusaidia with Agronomy skills na wakulima wenzio watakusaidia kukupa nguvu when the going gets tough. With lifetime investments changamoto ni nyingi, unahitaji watu wa kukutia moyo na pia kujifunza kutoka kwao kwa vitendo. I have come to learn kwamba hata kwenye advanced economies farmers have got unions which plays a major role kwenye mambo hayo na pia kwenye lobbying issues.
3. Usiwe dependent on one crop, kuwa na varieties: 2 to 3 crops are sufficient to supplement each other. Crops are living organisms affected by different weather patterns and eventually impacting their productivity. Mfano mwaka huu because of too much joto and rains due to elnino conditions, miembe mingi hasa Coastal regions have not flowered, meaning msimu huu utakuwa na maembe kidogo sana na hivyo kipato kidogo kwa wakulima wa embe....those who are dependent on one crop are bound to suffer lakini wenye diversity wanaweza kuendelea kupata hela kwa mazao mengine.
4. Endelea kujifunza na hasa kujifunza kwa vitendo kupitia wakulima halisi...social media are good BUT wakulima halisi waliopo field are the BEST source ya maarifa. Kilimo na sayansi vinaenda pamoja na ni vitu endelevu. Sayansi ni utendaji siyo makaratasi!