BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
Wazo zuri lakn je shamba unalo?Mimi ni mtumishi wa Umma kwa zaidi ya miaka 21 na sasa ninakaribia 50.Nafikiria nipande michikichi ya kisasa eka 10 ambayo huanza kuzaa baada ya miaka 3,hivyo nikiwa na miaka 53 takuwa na uwezo wa kupata Lita Hadi 20,000 X TZS 4,000 hivyo kupata hadi 80m kwa mwaka.
Kazi yangu kwa mwaka mshahara wangu ni 36m na arubu za ajira kibao.
Kumbuka michikichi haina gharama za kuhudumia zaidi ya palizi.Pia tapata na muda wa kufanya kazi zingine kama ufugaji wa nyuki,mbuzi na ng'ombe WA kienyeji.
Unataka hichi kilimo mkoa ganiMimi ni mtumishi wa Umma kwa zaidi ya miaka 21 na sasa ninakaribia 50.Nafikiria nipande michikichi ya kisasa eka 10 ambayo huanza kuzaa baada ya miaka 3,hivyo nikiwa na miaka 53 takuwa na uwezo wa kupata Lita Hadi 20,000 X TZS 4,000 hivyo kupata hadi 80m kwa mwaka.
Kazi yangu kwa mwaka mshahara wangu ni 36m na arubu za ajira kibao.
Kumbuka michikichi haina gharama za kuhudumia zaidi ya palizi.Pia tapata na muda wa kufanya kazi zingine kama ufugaji wa nyuki,mbuzi na ng'ombe WA kienyeji.
Ninazo kama eka 50Wazo zuri lakn je shamba unalo?
Urambo TaboraUnataka hichi kilimo mkoa gani
Miti ya kudumu hesabu miaka 5 vinginevyo uwe na commitment ya hali ya juuWazo zuri lakn je shamba unalo?
Wateja wa mawese , umewapataUrambo Tabora
Mafuta hayajatosheleza nchini...Serikali inaagiza mafuta ya zaidi ya 600b kila mwaka.Wateja wa mawese , umewapata
Vipi naweza na mm kupata shamba nije niwekeze huko?Mafuta hayajatosheleza nchini...Serikali inaagiza mafuta ya zaidi ya 600b kila mwaka.
Unapata....tuwasiliane please..Vipi naweza na mm kupata shamba nije niwekeze huko?
Mkuu barabara ya 5, Tanga haturudi tena, umeamua kuselea huko unyamwezini?Mimi ni mtumishi wa Umma kwa zaidi ya miaka 21 na sasa ninakaribia 50.Nafikiria nipande michikichi ya kisasa eka 10 ambayo huanza kuzaa baada ya miaka 3,hivyo nikiwa na miaka 53 takuwa na uwezo wa kupata Lita Hadi 20,000 X TZS 4,000 hivyo kupata hadi 80m kwa mwaka.
Kazi yangu kwa mwaka mshahara wangu ni 36m na arubu za ajira kibao.
Kumbuka michikichi haina gharama za kuhudumia zaidi ya palizi.Pia tapata na muda wa kufanya kazi zingine kama ufugaji wa nyuki,mbuzi na ng'ombe WA kienyeji.
Asante AL Zagawi....umenipa angalizo zuri sana na nalifanyia kazi, hasa kwenye Namba 3..dependent on one cropMkuu barabara ya 5, Tanga haturudi tena, umeamua kuselea huko unyamwezini?
Anyways, jokes aside....palm trees farming ni lifetime investment, not just fursa....fursa ni hizi opportunity za hapa na pale...with palm trees, your life after work is largely guaranteed.
Ushauri wangu....
1. Epuka short termism ukitaka kuwekeza kwenye mazao ya miti kama chikichi...mfano hiyo michikichi ya kisasa umeiona wapi watu wanailima na wanavuna baada ya miaka hiyo mi 3?...angalia usigeuzwe Guinea pig wa wataalamu feki kufanyia majaribio shambani kwako...panda mbegu ambayo hakika itakupa mazao. Michikichi ya kienyeji will take about 7 years mpaka kuanza kukupa mazao but they're proven! Think and make a realistic decision, the get rich quick schemes don't work in real life!
2. Hakikisha una access ya wataalamu karibu na pia around you kuwe na farmers wa zao hilo...kuanzia kaliua kule chikichi zipo, I believe wataalamu wapo na wakulima wapo. Wataalamu watakusaidia with Agronomy skills na wakulima wenzio watakusaidia kukupa nguvu when the going gets tough. With lifetime investments changamoto ni nyingi, unahitaji watu wa kukutia moyo na pia kujifunza kutoka kwao kwa vitendo. I have come to learn kwamba hata kwenye advanced economies farmers have got unions which plays a major role kwenye mambo hayo na pia kwenye lobbying issues.
3. Usiwe dependent on one crop, kuwa na varieties: 2 to 3 crops are sufficient to supplement each other. Crops are living organisms affected by different weather patterns and eventually impacting their productivity. Mfano mwaka huu because of too much joto and rains due to elnino conditions, miembe mingi hasa Coastal regions have not flowered, meaning msimu huu utakuwa na maembe kidogo sana na hivyo kipato kidogo kwa wakulima wa embe....those who are dependent on one crop are bound to suffer lakini wenye diversity wanaweza kuendelea kupata hela kwa mazao mengine.
4. Endelea kujifunza na hasa kujifunza kwa vitendo kupitia wakulima halisi...social media are good BUT wakulima halisi waliopo field are the BEST source ya maarifa. Kilimo na sayansi vinaenda pamoja na ni vitu endelevu. Sayansi ni utendaji siyo makaratasi!