Fursa ya kufanikisha maandamano ya kuzuia uchaguzi

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Nimetoka kuangalia hii video chini, huko Tanga wana CCM wakiandamana kukatwa kwa Ummy Mwalimu, nimechambua na taarifa zingine za maandamano na malalamiko ya Wanaccm.

Kuna fursa ya kutekeleza maandamano ya tarehe 28, na kuifanya CCM (kamati kuu) ifanye kikao cha dharura, kamati ya ulinzi wa Taifa kufanya kikao, Huku Jeshi la wananchi ku assume baadhi ya majukumu ya Polisi.

Hatua ya kwanza na ya msingi ya hili jambo kutokea ni endapo Wakatoliki na Makanisa ya Kikristo yatatangaza kugomea uchaguzi na kuhamasisha watu kuuzuia huo Uchaguzi, na kuanza mikusanyiko ya pamoja.

Kuna namna Watanzania wote CCM na wasio CCM wako tayari kwenda barabarani, ila inahitajika coordination moja ya kipekee sana, na kuwafanya Wananchi wawe kwenye point of No return, a situation that will overwhelm Police forces within 2-3 hours and collapse their command center


View: https://x.com/Jambotv_/status/1959606493403078920
 
Usijaribu kuandama kama una kitu cha kupoteza
 
Uzi mfupi ila ulibeba kila kitu cha Oktoba 29.
 
Uzi mfupi ila ulibeba kila kitu cha Oktoba 29.
Tume ya Chande imekosea sana kumtetea Samia na kujaribu kuwasingizia Wanaharakati na wana CCM.

Kulikuwa na mpango wa kuhamasisha waandamanaji wachukue silaha vituo vya polisi, Mimi ni mmoja ya watu niliokataa hilo wazo nikiamini CCM itaingilia kati kuzuia CIVIL WAR.

Maandamano yajayo, Wazanzibari watakufa kama kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…