Fursa ya kujiajiri kwa course ya statistics

Fursa ya kujiajiri kwa course ya statistics

tzhumoally

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
412
Reaction score
156
hv wadau hii course ya statistics kama mtu anataka kujiajiri anaweza kujiajiri katika nyanja gani?msaada
 
Kwanza niseme wazi kuhusu Statistics sijui namna unaweja jiajiri moja kwa moja...ila Mkuu...kujiajiri is not necessarily iwe katika kile ulichokisomea..elimu yako itumie kama nyenzo ya kufanya upembuzi yakinifu na mawazo ya busara katika kutumia fursa zilizopo..so usiji limit ..ukipata fursa yoyote ya kutengeneza pesa itumie tuu hiyo ndo Entrepreneurship
 
Back
Top Bottom