Kwanza niseme wazi kuhusu Statistics sijui namna unaweja jiajiri moja kwa moja...ila Mkuu...kujiajiri is not necessarily iwe katika kile ulichokisomea..elimu yako itumie kama nyenzo ya kufanya upembuzi yakinifu na mawazo ya busara katika kutumia fursa zilizopo..so usiji limit ..ukipata fursa yoyote ya kutengeneza pesa itumie tuu hiyo ndo Entrepreneurship