Fursa ya kujipatia Ethereum (ETH) yenye thamani ya $11

Joined
Aug 23, 2013
Posts
9
Reaction score
5
Habari wanajamvi,

Siku za karibuni kulikuwa na mtikisiko wa soko la cyrptocurrency hasa katika coin yao pendwa ya Bitcoin (BTC), kutokana na mtikisiko ule waekezaji wakubwa au makampuni mengi yanayohusika yamekuwa yakitengeneza sarafu mpya za crypto na wengine kuwa wanatoa offer za kupata crypto hii yote ni kuongeza wigo wa soko la crypto ili kuepusha yaliyotokea mwishoni mwa mwezi january. Kuna offs ya kupata ETH inakuja stay tune
 
Unamaana ETHERIUM CASH PRO au ni ipi hiyo?
 
JF ya siku hizi ina Ujinga Ujinga na Upuuzi wa Kiwango cha Juu sana,
Usingekuta huu upuuzi miaka ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…