Fursa ya Kupata mitaji kwa wenye NGO

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
8,870
Reaction score
10,066
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza... kuna websites mbalimbali duniani zipo kwa ajiri ya kusaidia watu wenye uhitaji kupitia taasisi ambazo zipo kwa ajiri ya kusaidia na sio kutengeneza faida...

kikubwa zaidi ni taasisi hizo kuwa zimesajiriwa kisheria ktk nchi husika na kuwa na nyaraka zinazo onyesha usajili na uhalali wa shughuli hizo ktk sehemu husika...

kuna taasisi ina itwa www.globalgiving.org hii ina tumiwa sana na taasisi nyingi sana kwa ajiri ya kuchangisha pesa kwa ajiri ya miradi mbalimbali ktk nchi mbalimbali duniani.

hapa chini ni baadhi ya NGO zinazo fanya shghuli zake Nchini tanzania zina nufaika na huduma kutoka ktika hii taasisi ya www.globalgiving.org kama kuna zingine nyingi tafadhari una weza kushirikisha wadau hapa ili waweze kunufaika kupitia huduma hizi na jamii pia ipate fursa hii ya kusaidiwa...

waliosoma mambo ya miradi, technology, kilimo, social work, sociology nk. hii fursa ina wafaha tukiungana mkiungana watu wachache mnaweza jiajiri na kufanya shughuli zenu kwa uzuri nakusaidia jamii

wapo wanao fahami websites zingine zenye kutoa huduma hizi, tafadhari wekeni hapa ili na wengine wanufaike...

Search - GlobalGiving

Bees Saving Elephants in Tanzania

Empower People with Disabilities in Tanzania

Support Tanzania Earthquake Relief

Ensuring Safety for Children in Tanzania Schools

Crowdsourced Mapping to Prevent FGM in Tanzania

No FGM in Tanzania

Educate Children in Western Tanzania

APOPO HeroTREEs - Carbon offsetting in Tanzania

100 Renewable BIOGAS for Climate in Rural Tanzania

Donate to Support [HASHTAG]#EqualityinTanzania[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…