Fursa ya Kushirikiana kwa Kuunganisha Bidhaa Zako na Masoko ya Kimataifa

Fursa ya Kushirikiana kwa Kuunganisha Bidhaa Zako na Masoko ya Kimataifa

Joined
Mar 23, 2023
Posts
93
Reaction score
108
Fursa ya Kushirikiana kwa Kuunganisha Bidhaa Zako na Masoko ya Kimataifa
Je, unayo bidhaa nzuri au mtandao wa bidhaa ambao ungependa kufikisha kwenye masoko ya kimataifa lakini unakosa wateja wa kuaminika? Naomba tushirikiane, kwani nitaweza kusaidia kwa:

1. Kuwafikia Wateja Wenye Mahitaji ya Bidhaa Zako
Nitafuatilia wateja wa kimataifa wenye mahitaji makubwa ya bidhaa zako na kukusaidia kuunganishwa nao. Nitakusaidia kufuatilia waliowahi kununua, wanaonunua sasa, na wale wanaotafuta kununua bidhaa zako.

2. Uchambuzi wa Soko kwa Kina
Nitakuletea taarifa muhimu za mwenendo wa soko na mahitaji ya wateja kupitia business data leads na manifest statistics. Pia, nitahakikisha unapata mawasiliano na kuunganishwa kwenye mazungumzo na makampuni 300+ yanayonunua bidhaa kama zako, hivyo kukupa nafasi ya kujadiliana moja kwa moja na wanunuzi wenye nia thabiti.


3. Kupunguza Gharama kwa Ushirikiano
Tukishirikiana kama timu, tutagawana rasilimali, na hivyo kupunguza gharama za mchakato mzima. Hii itafanya mchakato wa kupata wateja wa kimataifa kuwa nafuu zaidi na wenye manufaa makubwa kwako.


Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nami moja kwa moja – Tunahitaji watu wasio pungua 10 na kuzidi 15 ili ku rahisisha mchakato na kuufanya uwe wa gharama nafuu. We shall have the daily working span ya mwaka mmoja

Ukiwa ungependa kujiunga nasi au kujua zaidi
nipigie au nitumie ujumbe mfupi whattsap :0626201416
Email: TradeSafeintelligency@gmail.com
 
Back
Top Bottom