Fursa ya kuuza maji

Fursa ya kuuza maji

preciouse

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
46
Reaction score
12
Habari marafiki, naona kama fursa zipo nyingi ila hatuzitumii, nafikiria sehemu zenye uhaba wa maji mtu akiwa na tank la kama lita 5000 hivi akanunua maji kwa supplier akauzia watu wa eneo hilo kwa ndoo si ni biashara hiyo pia au mnaonaje?
 
Vipi kuul, umeona mitaa yenu watu wanahangaika na maji? nunua tanker faster upige pesa
 
Back
Top Bottom