P preciouse Member Joined Nov 6, 2012 Posts 46 Reaction score 12 Feb 22, 2014 #1 Habari marafiki, naona kama fursa zipo nyingi ila hatuzitumii, nafikiria sehemu zenye uhaba wa maji mtu akiwa na tank la kama lita 5000 hivi akanunua maji kwa supplier akauzia watu wa eneo hilo kwa ndoo si ni biashara hiyo pia au mnaonaje?
Habari marafiki, naona kama fursa zipo nyingi ila hatuzitumii, nafikiria sehemu zenye uhaba wa maji mtu akiwa na tank la kama lita 5000 hivi akanunua maji kwa supplier akauzia watu wa eneo hilo kwa ndoo si ni biashara hiyo pia au mnaonaje?
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Feb 22, 2014 #2 inalipa sana.
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,067 Feb 22, 2014 #3 Vipi kuul, umeona mitaa yenu watu wanahangaika na maji? nunua tanker faster upige pesa
mwanamke kazi Member Joined Sep 24, 2013 Posts 71 Reaction score 5 Feb 23, 2014 #4 nakuunga mkono mkuu