Fursa ya kuwa mwanahisa wa kampuni ya kimataifa

Chris101

New Member
Joined
Dec 27, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Fursa ya bure ya kuwa Mwanahisa
(Mmiliki) wa kampuni ya kimataifa
Anza mwaka wa 2015 ukiwa mmiliki
wa kampuni mpya ya kimataifa
iliyofunguliwa na wanachama wa
Perfect Internet waliotapakaa dunia
nzima (utawaona kwenye kiungo cha
CO-FOUNDERS) kwa kujiunga bure na
kualika wengine wafanye hivyo hadi
tarehe 19/02/2015 ambapo fursa hii
itatokomea.
Kampuni inaitwa We Share Success Inc
iliyosajiliwa Las Vegas Marekani
ambapo mimi ni mwanahisa wa
kampuni hii.
Utapata faida sana kujiunga na
kampuni hii kwa sababu kampuni hii
itamiliki kampuni nyingi na zote
zitakuwa za kimataifa na wewe
utakuwa na hisa kwenye kampuni zote
hizo kupitia hisa zako kwenye kampuni
hii mama.
Tayari wanachama waanzilishi wa
Perfect Internet ambao ndio CO-
FOUNDERS wa kampuni hii mpya
tumeshaanza kugawana mapato ya
mwezi kutoka kwenye mradi wa awali
wa Perfect Internet (wakati ule
ulikuwa ukijulikana kama Wazzub)
tangu mwezi September 2014 na
kampuni yetu ya Perfect Internet
itaingia kwenye soko la New York Stock
Exchange mnamo mwezi wa April
mwaka huu hivyo tayari tuna historia
ya mafanikio kwenye miradi yetu.
Kama wewe ni tayari mwanachama
wa Perfect Internet ama kupitia
mradi wa Perfect App au tovuti yoyote
ile inayomilikiwa na Perfect Internet,
basi unachotakiwa ni ku login tu. Kama
sio mwanachama wa Perfect Internet,
basi jiunge kwa ku sign up kwenye
sehemu ya FREE REGISTRATION iliyoko
katikati kushoto unapofungua tovuti.
Utapata hisa 10 za bure kwa ku login
kama wewe ni mwanachama wa PI au
ku sign up kama wewe si
mwanachama. Utapata hisa zingine 5
kwa kila mtu utakayemualika baada
ya kujiunga na hisa hizi 5 utazipata
kwa watu watakaoijunga ndani ya
mtandao wako kwa vizazi vitano
kwenda chini.
Hii ni fursa ya kuwa mmiliki wa tovuti
nyingi zitakazofunguliwa na We Share
Success Inc. tukianzia na tovuti ya
bobl ambayo kwa sasa ipo kwenye
utengenezwaji wake na itakuwa tayari
ifikapo 01/03/2015. Tovuti hii
itaendeshwa na kampuni inayoitwa
Bobl. Inc. ambayo itakuwa kampuni
tanzu ya We Share Success Inc. Tovuti
hii ya bobl itatuwezesha kupata habari
za watu tunaowafuatilia zilizotapakaa
katika mitandao mbalimbali kwenye
sehemu moja tu inayoitwa bobl box
hivyo itaturahishia upatikanaji wa
habari wa watu tunaowafuatilia kama
ma stars, wanasiasa, wanahabari,
n.k. Watu watakaowavutia watu wengi
kuwafuata kwa ajili ya kupata habari
zao ndani ya tovuti hii ya bobl
wataweza kulipwa mapato yanayoitwa
bobl cash ambayo yatatolewa kama
asilimia ya matangazo yanayolipiwa
kwenye tovuti hii. Tovuti nyingine
zitaanza kuundwa mara baada ya hii
ya bobl kukamilika na wewe utakuwa
mmiliki wa tovuti zote hizi. Kila tovuti
itakuwa na kampuni yake
inayoiendesha na hiyo kampuni
itamilikiwa kwa kiasi kikubwa na
kampuni mama ya We Share Success
Inc. hivyo ukikosa fursa hii ya kuwa
mmiliki wa hii kampuni mama ya We
Share Success Inc. utakuwa umepoteza
fursa kubwa mno.
Tunatarajia kuanza kugawana faida
kama wamiliki wa kampuni hii ya We
Share Success Inc. kuanzia mapato ya
mwezi wa March 2015 ambayo
yatatokana na mradi wa bobl
(utauona kwenye kiungo cha PROJECT)
ambayo yatalipwa katikati ya mwezi
April 2015 na kila mwezi baada ya
hapo. Vyanzo vingine vya mapato
vitafuata kutoka kwenye tovuti
nyingine zitakazotengenezwa mara
baada ya tovuti hii ya bobl kukamilika.
Tutakuwa tunalipwa gawio la mwezi
hadi ifikapo mwisho wa mwaka 2015
tutakapoingia kwenye New York Stock
Exchange ambapo wanahisa
watakaotaka kuuza hisa zao wataweza
kufanya hivyo na wale watakaotaka
kubakia na hisa zao ili waendelee
kupata gawio (dividend) la mara kwa
mara wataweza kufanya hivyo.
Utaweza ku apply Bobl Debit Card
ambapo malipo yako yatakuwa
yanalipwa. Utaweza kuiagiza Bobl Debit
Card mapato yako yatakapofikia
angalau $50 ambapo $25 ni kiwango
kidogo utakachoweza kulipwa kwenye
Bobl Debit Card yako na $25 ni
gharama ya ku process Bobl Debit
Card. Utakuwa na uhuru wa
kuiunganisha Bobl Debit Card yako
ilipie moja kwa moja kwenye Account
yako ya benki utakayoielezea au
malipo yafanyike kwenye Bobl Debit
Card yako ambapo utaweza kutoa hela
kwenye ATM Mashine popote pale
duniani iliyounganishwa na mtandao
wa Master Card kama vile CRDB,
Citbank, NBC, NMB, n.k. au kutumia
hiyo Bobl Debit Card kulipia malipo
katika maduka yanayokubali kulipwa
kwa Master Card ambapo utapata
discount unaponunua kutumia Bobl
Debit Card (Master Card).
Kutakuwa na Bobl cash kwa wale
watakaovutia watu wengi zaidi kwenye
kurasa zao za bobl hivyo kwa ma
stars, artists, bloggers, n.k. hii itakuwa
fursa nyingine ya kuingiza kipato
kupitia bobl cash hata kama washabiki
wenu watatembelea tovuti zingine
kusoma habari zenu kupitia tovuti ya
bobl.
Kwa nini tutoe hisa za bure? Kwa
sababu wanachama watakaojiunga
watatusaidia kuwaalika watu wengine
hivyo kupata watu wengi
watakaotumia tovuti zetu na hivyo
kuleta traffic kwenye tovuti zetu, kitu
ambacho ni muhimu kwa biashara ya
tovuti kwani wafanyabiashara huwa
wanaweka matangazo kwenye tovuti
zinazotembelewa na watu wengi.
Sababu ya pili ni kwamba kwa kuwa
utakuwa ni mmiliki wa kampuni, basi
hutaacha kuwaalika watu kutembelea
tovuti zetu hata baada ya kipindi cha
fursa hii kwisha kwani utapenda kuona
watu wengi wanatumia tovuti zetu ili
tuweze kupata traffic ya kutosha na
hivyo kuweza kuuza matangazo na
deals zingine za internet.
Anza mwaka ukiwa na matumaini
mapya kwa kuwa mmiliki wa kampuni
ya dunia ambayo ina uwezo wa
kukufanya uwe unajitegemea kabisa
katika maisha yako ukiwa kama
mmiliki na sio mwajiriwa.
Ndugu zangu Watanzania, amkeni
mchangamkie fursa za dunia kwani
mkiwa nyuma basi hii ni njia
mojawapo ya taifa letu kunyonywa
pia kwani wafanyabiashara wetu
lazima wataweka matangazo kwenye
tovuti hizi na mgawanyo wa mapato
utaenda kwa raia wa mataifa
mengine waliochangamkia fursa hii ya
kuwa wamiliki wa kampuni!!!
Bonyeza kiungo hiki ku login kama
wewe tayari ni mwanachama wa
Perfect Internet au ku sign up kama
wewe bado si mwanachama
www.wesharesuccess.com/?
refid=0e6b57ce
Utapata kiungo chako cha kualikia
watu ukisha login kama wewe tayari ni
mwanachama au ukishajiunga kama
wewe ni mwanachama mpya katika
sehemu inayoitwa Main Page. Mtu
akijiunga na kiungo hicho basi
anakuwa chini yako na unapata hisa
5. Usitumie kiungo kingine kualikia
watu zaidi ya hicho kwani hautapata
hisa.
Ukishajiunga au wakati unajiunga
ukiwa na swali lolote nitumie message
hapa JF nami nitakujibu swali lako au
kukupa maelekezo unayoyahitaji
WE SHARE SUCCESS
www.wesharesuccess.com
WE SHARE SUCCESS
wesharesuccess.perfectinter.net
 
MAMBO 7 MUHIMU ILI MWAKA 2015 UWE WA MAFANIKIO KWAKO
Ikiwa leo ni siku ya 8 tangu mwaka 2015 uanze.inawezekana bado uko na malengo ya mwaka jana na hukufanikiwa kuyafikia,au bado hujapanga malengo yako ya mwaka 2015.inawezekana bado hujatambua kama siku 8 tayari zimeshapita na hazitajirudia maishani mwako.tunaishi mara moja na wakati uliopo ndio unacheza movie ya maisha yako,hakuna muda mwingine tena..
Haitakuwa na maana kwako kusherekea mwaka mpya na ukaingia kwa furaha halafu ukaendelea kubaki yuleyule, haiwezekani. Umefika ni wakati wa kubadili akili yako na kuwa na mitizamo mipya, inayoona fursa mpya na itakayokuongoza pia katika ushindi wa mafanikio unayoyataka. Je, unataka mwaka 2015 uwe wa historia na mafanikio makubwa kwako? Kama nia hiyo unayo na una uchungu wa mafanikio, hakikisha unafanya mambo haya:

1. ANZA KUBADILI MTAZAMO WAKO KUHUSU MAISHA HARAKA SANA
Kitu kipya kwako unachotakiwa kuhakikisha kukifanya ni kubadili mtazamo huo ulio nao kuhusu maisha. Anza kufikiri tofauti na ulivyokuwa ukifikiri mwaka jana, acha kuogopa vitu ambavyo kwako huwezi kuvitawala, acha kuwaza hasi sana badala yake anza kufikiri chanya katika kila Nyanja ya maisha yako. Kama utaendelea kuwa Yule Yule wa siku zote mabadiliko ya mwaka hayawezi kukusaidia kitu, utakuwa tu kama ni utoto kufurahia mabadiliko ya namba bila ya wewe kubadilika.

2. ANZA KUISHI KWA MALENGO MAKUBWA

Kama wewe ulikuwa ni mtu wa kujiwekea malengo kidogo katika maisha yako, anza sasa kujiwekea malengo makubwa. Wewe si mtu wa kawaida tambua vipaji vyako ya kuwa wewe ni nani? Kisha anza kuvitumia ili kufanikisha malengo makubwa uliyonayo katika maisha yako. Hauna haja tena ya kulaumu wala kulalamika kama ambavyo umekuwa ukifanya mara kwa mara, ni wakati wako sasa wa kuishi kwa malengo uliyojiwekea na kuyafuata.

3. ANZA KUJIFUNZA KILA SIKU
Hili ni jukumu ambalo unatakiwa kuwa nalo kila siku bila kuliacha. Ukiwa ni mtu wa kujifunza kila siku vitu vipya hasa kupitia vitabu, utakuwa unakua kila siku kiakili na baada ya muda utakuwa na uwezo mkubwa sana wa kukabiliana na changamoto kuliko unavyofikiri. Hautakuwa na mafanikio makubwa sana kama wewe hautaanza jukumu hili la kujifunza kikamilifu kila siku mwaka huu. Tenga muda maalumu wa kujisomea kila siku utaona matokeo yake.

4. ANZA KUTUMIA UWEZO MKUBWA ULIONAO
Hata kama kuna wakati unapitia kwenye majaribu na pengine unashindwa kuona matumaini yaliyo mbele yako lakini, tambua kitu hiki muhimu kwako kuwa una uwezo mkubwa wa kukufanya kuwa tajiri ambao huutumia. Kwa kulijua hilo anza kufikiri kama mtu aliyefanikiwa hata kama mfukoni hauna kitu na acha kujiona hufai kama ambavyo umekuwa ukijiona kwa muda mrefu sasa, huu sasa ni mwaka wa mafanikio kwako, tumia uwezo mkubwa ulionao kufikia mafanikio makubwa unayotaka.

5. ANZA KUWA WEWE KAMA WEWE
Kujaribu kuwa kama mtu mwingine katika maisha yako ni unapoteza muda wako bure. Jifunze kuwa wewe kama wewe, acha biashara ya kukurupuka na kuiga malengo ya watu wengine. Hiyo itakurudisha nyuma sana kimbia mbio zako wewe mwenyewe na ipo siku utakuwa mshindi. Kama kwa miaka yote umekuwa ukiishi kwa kuiga maisha ya watu wengine, kwa mwaka 2015 achana na hayo mazoea. Ni muda wa kuishi maisha mapya na kutegemea kuona mabadiliko makubwa, kikubwa chukua hatua.

6. ANZA KUISHI MAISHA KWAKUWA NA WATU SAHIHI.
Wakati wa kuishi maisha na watu ambao wanakukatisha tamaa, wanakurudisha nyuma umeshapita. Jipange sasa kwa mwaka huu unaoanza kuwa na watu sahihi watakaoweza kukusaidia kutimiza malengo yako kwa urahisi. Jifunze kwao kisha na wewe uchukue hatua ya kubadilisha maisha yako. Unapokuwa na watu sahihi inakusaidia kujifunza vitu vingi vinavyobadili maisha yako na utaona malengo yako yakitumia kuliko ambavyo ungekuwa na watu ambao sio msaada kwako.

7. ANZA KUFURAHIA MAISHA YAKO.
Kwa vyovyote vile unavyoishi, jifunze kuyafurahia maisha yako. Hata kama upo kwenye shida nyingi namna gani yafurahie tu maisha yako. Hakuna muda au wakati utakaokuja useme sasa huu ni wakati wa kuyafurahia maisha hakuna. Kwa mwaka 2015 jifunze kuyafurahia maisha yako kwa kuishi leo kama leo na kuachana na hofu zinazokunyima furaha. Ukiweza hili utamudu kuwa na amani na furaha na hiyo itakusaidia kujenga mafanikio makubwa yaliyo mbele yako.

MPENDWA ACHA KUISHI MAISHA YALE YALE ULIYOKUWA UKIISHI MIAKA YOTE, Hayatakufikisha popote zaidi ya kukurudisha nyuma. Jitafakari mwenyewe mienendo yako uliyonayo na kisha jiulize je, inakufikisha kwenye mafanikio unayotaka? Au kuna mahali utaishia kukwama. Ukishapata jibu, chukua hatua za kufanya kile kitachokusaidia kukufanikisha, ikiwa ni pamoja na kufanyia kazi mambo haya muhimu uliyojifunza sasa.
UKIPENDA KUJIFUNZA ZAIDI KUPITIA NA UNA MALENGO MAKUBWA USISITE INBOX OR WHATSAPP 0752997088
 
hii kitu imerudi tenaa?

fursa imerudi tena serio, ni vizuri ukatumia muda wako kujiunga mapema kabla deadline haijafika trh 19, February, 2015. ukishajiunga anza kuwaunganisha watu chini yako kwa kutumia referal link yako utakayoipata mara baada ya kujiunga.

Mara unapojiunga utapata hisa kumi na kwa kila utakaye muunganisha chini yako utapata hisa tano.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…