Fursa ya kuwanyoa viongozi serikalini 2014/2015

Fursa ya kuwanyoa viongozi serikalini 2014/2015

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Ukifuatilia kwa karibu utaundua viongoi wengi hasa wa serikali wapo bize sana na mambo ya kitaifa,kikanda& kimataifa hivyo si rahisi kukumbuka mambo ya SALOON, vijana tuchangamkie fursa hii tutengeneze pesa, binafsi ningependa kuwanyoa wafuatao;
1. Mhe. Dr. Shein
2. Mhe. Bilali
3. Mhe.Tibaijuko
4. Mhe. Kassimu Majaliwa
5. Mhe. Halima Mdee
6. Mhe. Mwandosya
Asanteni
 
Wazo zuri ila angalia watu wasilichukue na kukuwahi maana nchi hii watu wanaishi kwa mawazo ya wengine. Ila usimsahau Padri Slaa
 
Hizi ni baadhi ya style zitakazowafaa waheshimiwa
 

Attachments

  • shevu1.jpg
    shevu1.jpg
    12.2 KB · Views: 221
  • shevu2.jpg
    shevu2.jpg
    11.1 KB · Views: 199
haha kuna watu sidhani kama watakubali kunyolewa hapo ni watata balaa
 
Sijelewa, utawafuata bungeni ukawanyoe ama?
 
Wassira atyson mbona anaonekana kama mgonjwa mgonjwa hivi, inaelekea kikombe cha babu hakikumsaidia!!
 
Mkuu mi nafiiri ungefungua biashara ya kupiga ramli uganga maana kuelekea uchaguzi 2015 lazima utapiga hela sana aisee.
 
Back
Top Bottom