Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

Zainab Tamim

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
1,293
Reaction score
583
Leo nawaletea fursa ya kuwekeza salama kabisa.
Kama una fedha zimekaa bure au unaziweka benki basi hii ni fursa ya kujiongezea kipato bila jasho, kwani kazi zote za kuwekeza tutazifanya sisi, wewe unawekeza fedha zako na zinakuzalia.

Tunakuhakikishia pesa utazowekeza zitakuzalia 100% kwa mwaka na au zaidi.
Pesa za mwanzo kuanzia ni TZS 500,000/=
Hatutachukuwa wawekezaji zaidi ya 20 kwa miezi sita ya mwanzo.
Pesa utazowekeza tunaziingiza katika biashara za halali kabisa ambazo zipo tayari zinafanyika.

Ukianza na kuwekeza shillingi 500,000/- tunakuhakikishia malipo ya shillingi 20,000 kila wiki kwa wiki 52

Plan A:
Ukiweka 500,000 utalipwa baada ya siku 30 au chini ya hapo za mwanzo, Shillingi 20,000 kila wiki X wiki 52 = 1,040,000

*Service charge yetu ni shillingi 40,000 kwa hiyo unabaki na 1,000,000 kamili.
Kwa plans zingine unaweza kuwasiliana na Babu Abdul 0625249605

Tunapenda ifahamike kuwa hii si desi wala "pyramid scheme", huu ni uwekezaji halali, sisi tunawekeza katika kazi halali zilizopo hapa kijijini kwetu Misugusugu, Kibaha. Kama vile machimbo ya mchanga, bodaboda, maduka ya hardware, mini market, maduka ya vyakula, uuzaji wa kokoto, uuzaji wa mbao.

Ukipenda unaweza kututembelea wakati wowote, miradi yote tunasimamia wenyewe na vijana tuliowaajiri.
Kama una maswali yoyote tafadhali uliza na Babu Abdul (Mume wangu) atayajibu.

Mradi huu kwa kuwa msimamizi mkuu ni mume wangu, Babu Abdul, maswali yote na mawasiliano yatakuwa yanapitia kwake.

Asanteni.

Plan B
Mpango mwingine ni very simple isipokuwa uwekezaji wake ni mkubwa kidogo. Huu unaanzia millioni tano na unapanda kwa millioni tano tano, yaani unaweza kuwekeza millioni tano au kumi au kumi na tano au ishirini.

Kwa sasa tunahitaji wawekezaji au muwekezaji wa millioni 30 kama ni mmoja tu, au kama ni 6 kila mmoja atatoa millioni 5 (tumeshapata wawili wa millioni 5 kila mmoja kwa hiyo tuna nafasi ya millioni 20 tu kwa sasa).

Tunawekeza kwenye mgodi wa michanga ya kujengea ambayo ipo kihalali kabisa. Tuna guarantee faida ya 50% kwa miezi mitatu mpaka sita tu.

Maana yake, itakapotimia miezi 6 tunahakikisha kuwa kiasi ulichowekeza na faida ya 50% ipo kwako tayari. Na mambo yakienda vizuri basi ndani ya miezi mitatu itakuwa tumeshamaliza phase hii.

Kulipwa ni kila wiki mpaka uwekezaji wako na faida ziwe zimesharudi.
Msingi ulikuwa unatakiwa wa millioni 30 lakini tayari tumeshapata millioni 10 za kuwekeza. Kazi hii tunatarajia itaanza mwanzo wa mwezi March.

Karibu sana.
 
Mnanihakikishiaje kua so desi; ni utaratibu gani umeandaliwa kisheria kukabidhiana pesa?


Sio desi kwa sababu, kwanza kwa kuanzia hatuchukuwi wawekezaji zaidi ya 20. Pili, pesa ukilipa unapewa risiti na mkataba mdogo kuonesha kuwa tumezipokea na vipi utalipwa 20,000 kila wiki kwa wiki 52.

Miradi tunayowekeza ipo wazi, unaweza kuja kuiona.
 
Ahsante kwa taarifa.lakini ukimaliza wiki 52.ndio umemaliza chako baada ya kupata 1M au mtaji wako utaendelea kuvalisha ktk mawiki yajayo......


Ukimaliza ndio umemaliza lakini tunategemea ukianza na kuona mafanikio kabla ya kumaliza utakuwa umewekeza tena.

Abdul
 
mi laki tank ninayo cash ni pm lkn tuandikishiane kisheria na kabla hujani pm jibu hayo maswali hapo juu. ili kila mdau aelewe


Hilo halina shaka kabisa. Kwa hapa kwetu tunaandikishana serikali za mitaa, lakini kama wewe utalipia gharama za mwanasheria unaweza kuja na mkataba ya kutoka kwa mwanasheria umpendae.

karibu sana.
 
mnakubali tuingie mkataba wa kisheria ?


Tunakubali kabisa. Tena na kama nilivyoeleza kuwa hapa kwetu tunaandikishana serikali za mitaa lakini wewe binafsi kama utaingia gharama za mwaanasheria unaweza kuja na mkataba wako wa kisheria. Hakuna shaka.
 
Tunakubali kabisa. Tena na kama nilivyoeleza kuwa hapa kwetu tunaandikishana serikali za mitaa lakini wewe binafsi kama utaingia gharama za mwaanasheria unaweza kuja na mkataba wako wa kisheria. Hakuna shaka.
sawa mkuu nitakutafuta
 
Biashara yoyote ni ku take risk baada ya kujiridhisha


Kweli kabisa.

Sisi tumejaribu kufanya risks ziwe ndogo (minimum risk) kwa kuwekeza kidogo kidogo na kuhakikisha tuna uwezo wa kulipa pale mambo yatapokuwa si mazuri. Na hatuchukui wawekezaji zaidi ya 20 kwa kuanzia.

Uwezo wetu na assets tulizonazo tunaweza kumudu kulipa watu zaidi ya 20 waliowekeza laki tano tano kila mmoja pindi ikitokea biashara kwenda vibaya. Hatuombei hayo lakini tunachukuwa tahadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…