Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

Zimebaki siku mbili.
 
Zimebaki siku mbili.

Imebaki siku moja - kesho ndiyo tutapokea malipo ya mwisho ya uwekezaji, mradi wetu utaanza on time tarehe 15-04-2017
 
Zimebaki siku mbili.

Imebaki siku moja - kesho ndiyo tutapokea malipo ya mwisho ya uwekezaji, mradi wetu utaanza on time tarehe 15-04-2017

Leo ni siku yetu ya mwisho kupokea pesa kwa uwekezaji wa mtaji wa 500,000 wa awamu hii.

Mradi utaanza kesho kama tulivyoutarajia.
 
Leo ni siku yetu ya mwisho kupokea pesa kwa uwekezaji wa mtaji wa 500,000 wa awamu hii.

Mradi utaanza kesho kama tulivyoutarajia.

Tunapenda kuwafahamisha kuwa jana tumemaliza kukusanya wawekezaji wa mradi wa mtaji wa 500,000 kwa sasa mpaka hapo tutapotangaza tena.

Tuna furaha kuwajulisha kuwa muitikio ulikuwa mzuri sana.

Tunachukuwa fursa hii kwanza kabisa Kumshukuru Mwenyezi Mungu kutuwezesha kufanikisha zoezi hili kwa ufanisi mkubwa. Pia shukran zetu na asante nyingi sana ziwaendee wale wote ambao wametuamini na kutukabidhi mitaji yao tuwekeze.

Ahsante.

Abdul and Zainab
 
Ahsante sana Abdul na Zainab, tumekaa mkao wa kula, twangoja muwivishe.
 
Hivi karibuni tutakuja na mpango wa mikopo midogo midogo ya biashara bila riba. Tunaandaa utaratibu.

Pia tunawaomba kwa yeyote mwenye uelewa wa mikopo bila riba awasiliane nasi kwa faida ya wengi.

Tutafungua uzi hivi karibuni kuanzisha mjadala kuhusu hilo.
 
Tunafuraha kuwajulisha kuwa leo hii tumeanzza rasmi kulipa mafao ya waliowekeza kwa "Plan A phase ll".

Wadau wote waliowekeza nasi tunawaomba ifikapo tarehe 22-05-2017 kama haujapata mafao yako kupitia bank account au na namba za kutuma pesa mlizotupatia basi mtujulishe haraka iwezekanavyo.

Wale wa "Plan A phase I" mafao yataendelea kama tulivyopanga.

Tunawashukuru sana kwa kuwekeza nasi.
 
Mkuu mje na plan c ambayo mtu wa 100000 nae ahusike wengine hatuna hiyo 500000

Ni wazo zuri sana.

Nafurahi kukujulisha kuwa tumekua na plan oa nzuri sana, nayo ni kuanzisha saccos yetu ya kipekee kwa jinsi itakavyoendeshwa, itajikita zaidi katika kuwekeza na haitakuwa na riba, kwa maana haitategemea faida kutokana na riba.

Utaweza kuwekeza humo hata kwa chini ya 100,000 ni kwa kadiri ya uwezo wako.

Karibu sana ujiunge.

Kujiunga nasi pitia hapa: Fursa ya kukopa kukopesha kwa faida bila riba na hapa: Diaspora, Wanasiasa, Wajasiriamali... Fursa

Au piga au tuma whatsapp 0625249605 kwa maelezo zaidi.
 
Sure...ingekuwa poa

Kama unaweza mpa mtu 500000 akuzalishie 20000 kwa wiki naamini kabisa mtu wa namna hiyo anahitaji Maombi ya UKOMBOZI.

Kama una njia mbadala za halali tunakuomba ujiunge nasi katika saccos yetu mpya ili utusaidie mawazo mapana zaidi katika kuwekeza kwa faida ya wengi.

Tunahitaji sana mawazo, mbinu, na namna mpya za kujiendeleza kwa faida ya wengi.

Tunahitaji sana njia zako mbadala za "UKOMBOZI" katika saccos yetu ili tujiendeleze sote. Tunaelewa kabisa kuwa njia zetu bado zinahitaji maboresho, fikra na vitendo zaidi na tungependa sana ujiunge nasi ili tufaidike sote.

Kujiunga nasi pitia hapa: Fursa ya kukopa kukopesha kwa faida bila riba na hapa: Diaspora, Wanasiasa, Wajasiriamali... Fursa

Au piga au tuma whatsapp 0625249605 kwa maelezo zaidi.
 
Wadau wote,

Tunapenda kuwajulisha kuwa mpaka sasa tumeshasajili wana saccos zaidi ya 40 na tunaendelea kusaiili wana saccos wapya kila kukicha, kutoka sehemu mbali mbali za Tanzania na duniani kwa ujumla. Diaspora wengi wameanza kuitikia mwito wetu.

Pia tunapenda kuwafahamisha kuwa yeyote ataeungana nasi kwa sasa, tutamuingiza katika group letu jipya la "Biashara Vitendo SACCOS" (licha ya lile la "Vitendo SACCOS") ambalo unaungwa automatically unapojiunga tu na SACCOS yetu mpya.

Humo utaweza kutangaza biashara zako binafsi nasi pia tutasaidia kuzitangaza tena kwenye mitandao ya kijamii na baadae tutaziweka kwenye website yetu itakapokuwa tayari.

Karibuni sana wadau.
 
Wadau,

Ndani ya SACCOS yetu mpya kuna jukwaa la biashara pia kwa wanachama wetu.

Tunaanzisha mada jukwaa la biashara ajionee mwenyewe bidhaa za wanachama wetu.

Karibuni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…