Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

Hiyo phase two ni kwamba mwisho wa siku aliyeweka 5M atapata 7.5M? Na jee baada ya hapo ndio basi?

Ndiyo, aliyewekeza 5M atapata 7.5M guaranteed.

Baada ya hapo tukianza phase nyingine anaweza kuwekeza tena. Huwa tunawekeza kwa muda mfupi mfupi kwa sasa.
 
Tunawaomba wote mnaopitia huu uzi mjisomee posti namba 115 kwa phase mpya ya uwekezaji.
 
Asante,nitakuja.
 
Wasi wasi wangu hapa je? sio riba hii.

Tumelitazama sana hilo kabla ya kuanzisha hii miradi ya uwekezaji tukajiridhisha kuwa hakuna riba. Moja ya sababu kuwa hatujataka mikopo ya benki.

Unaweza kuisoma hapa miradi yetu na unaweza kujisomea kuhusu "Islamic Investment" ili kujiondoa wasiwasi.

Pia kama una swali lolote kuhusu ulichokiona kikakufanya uhisi kuna riba tunaomba utuulize ili tuweke wazi pasi na shaka.

Asante.
 
Tunawaomba wote mnaopitia huu uzi mjisomee posti namba 115 kwa phase mpya ya uwekezaji.

Nimefurahishwa sana na wazo lenu na jinsi unavyojibu maswali kwa ufasaha, hiyo peke yake imanifanya nianze kuwaamini kabla hata ya kuwatembelea miradi yenu. Naomba kuuliza, mmefanya insurance yoyote kwa asset zenu ili hata kama inatokea chochote mali zenu na wawekezaji wenu wasipate hasara?

Muundo/Mfumo wa kampuni ukoje, ni formal organization au ni biashara ya familia tu? Nauliza hivyo sio kwa lengo baya, ni kujua sustainability ya kampuni, ikitokea wewe haupo kwa sababu moja ama nyingine, uhakika wa wawekezaji kupata pesa zao. Nafikiri utanielewa na natanguliza shukrani zangu.

Mungu awabariki
 
hii imekaa poa sana, nitakuja kujionea mwenyewe
 
Ukisoma Post Hii Kimbiaa Kwa speed ya Kilometer 180 kwa Saa ..wala usithubutu kusoma Tena ..wanatumiaga Mpaka dawa hawa Kwnye maandishi... unaweza jikuta umedumbukia
 
Katika jambo jema na lenye tija vikwazo na mapingamizi hayakosekani. Kama anashindwa kuthibitisha utapeli wenu asiwasumbue sana kujibishana nae, mwenye kutaka kuwekeza atawatafuta tu, msipoteze muda na nguvu kujibishana nao.

Hasbunna Llahu wa Neema L'wakil. (FaizaFoxy )
 
Ukisoma Post Hii Kimbiaa Kwa speed ya Kilometer 180 kwa Saa ..wala usithubutu kusoma Tena ..wanatumiaga Mpaka dawa hawa Kwnye maandishi... unaweza jikuta umedumbukia
Dah, kivipi mkuu! hebu fafanua isikute unaharibu biashara za watu bila kuwa na sababu za msingi.

Tutoe hofu
 
Acheni hadithi za Sungura na Fisi.
 
Tunawaomba wote mnaopitia huu uzi mjisomee posti namba 115 kwa phase mpya ya uwekezaji.

Ningeshauri post 115 ipandishwe kwenye post ya mwanzo kabisa Kama updates Ili kila anaeingia kusoma apate fursa ya kuelewa mchakato mzima unavyoenda na Maendeleo yake. Shukrani
 
Ningeshauri post 115 ipandishwe kwenye post ya mwanzo kabisa Kama updates Ili kila anaeingia kusoma apate fursa ya kuelewa mchakato mzima unavyoenda na Maendeleo yake. Shukrani

Vyema saana , nimefanya hivyo.

Asante kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…