Fursa ya Madini kwa mtu anayetaka kuwekeza huko tushirikiane

mwika

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
47
Reaction score
27
Kwa mtu ambaye yupo tayari kudaka fursa hii ya kuwekeza kwenye sekta ya madini especially Dhahabu kwa njia ya kuchenjua kwa kutumia njia ya Plat

Mimi nitampa mwongozo wa kazi na upatikanaji wa makinikia pamoja na utaalamu wa kuchenjua mimi ninao .

Kwaiyo ni makubaliano kulinda mtaji wake na kuendeleza kwa muda mfupi naamini tutakuwa tumerudisha mtaji na kuendeleza uwekezaji zaidi.

Hii ni fursa kubwa iliyojificha ambayo ukiwa watu makini ni swala la muda mfupi mnapiga hatua kubwa sana . Udongo wa kuozesha au kupembua upo mwingi sana.

Kwa mtu ambaye yupo interested na biashara hii tutafutane PM tuyajenge
 
Unapatikana wapi na hyo plant itajengwa wapi mkuu
 
Mimi kwasasa nipo Dar sehemu za kujenga plant ni nyingi maana makinikia yapo sehemu mabalimbali ni makubaliano
 
Watu wanaenda lizwa hapa.
Hakuna biashara mbaya ya fursa kama ya dhahabu. Bora uingie mwenyewe kuliko kuletewa fursa.
Hawa ndo wezi wa carbon
 
Watu wanaenda lizwa hapa.
Hakuna biashara mbaya ya fursa kama ya dhahabu. Bora uingie mwenyewe kuliko kuletewa fursa.
Hawa ndo wezi wa carbon
[emoji1][emoji1], hapa unaweza kugeuzwa fursa wewe badala ya dhahabu...!!!
 
Watu wa plant wezi jaman..Mungu anawaona..Ndg yangu katoka na gram 200 tu..mxiew
 
Hii ni fursa nzuri sana km una hela..hawa miez miwili tu wanatembelea miprado...hii iko akilini kwangu pia 2yrs ahead
upo vizuri kwenye swala la hamasa;

Mimi ushanifungulia nati zote nipo najikusanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…