Sanchez magoli JF-Expert Member Joined Apr 24, 2015 Posts 4,055 Reaction score 8,540 Aug 8, 2019 #21 manengelo said: Hahha...!am not ok kuandika sana siwez..naumwaš¶! Click to expand... Ugua pole pia Dada ake. Wish you qiuck recovery
manengelo said: Hahha...!am not ok kuandika sana siwez..naumwaš¶! Click to expand... Ugua pole pia Dada ake. Wish you qiuck recovery
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Aug 8, 2019 #22 Wizi unaanzia kwenye kununua makinikia. Unaenda pima unaona ppm iko juu unakubali bei. Ukianza mchakato washenzi wanaiba carbon wanaweka madawa hovyo hovyo mwisho wa siku hata kg1 hupati na wakati umenunua madongo kwa mamilioni manengelo said: Watu wa plant wezi jaman..Mungu anawaona..Ndg yangu katoka na gram 200 tu..mxiew Click to expand...
Wizi unaanzia kwenye kununua makinikia. Unaenda pima unaona ppm iko juu unakubali bei. Ukianza mchakato washenzi wanaiba carbon wanaweka madawa hovyo hovyo mwisho wa siku hata kg1 hupati na wakati umenunua madongo kwa mamilioni manengelo said: Watu wa plant wezi jaman..Mungu anawaona..Ndg yangu katoka na gram 200 tu..mxiew Click to expand...