Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Ndugu zangu wafanyabiashara na wajasiriamali ngoja niwape fursa kidogo ya kutangaza biashara zetu. Kwa wale wa matangazo ya ya kwenye spika yaani unakua unaplay eneo lako la biashara huku likitaja baadhi ya bidhaa zako kwa bashasha na mbwembwe lukuki ni 30000/=.
Na pia kuna matangazo ya video haya yanakua ni ya video yanawekwa mwanzo movie zilizotafsiriwa kwa wale mnaoangalia movie zilizotafsiriwa natumaini mtakua mnaelewa pale mwanzo kabla movie haijaanza kunakua na tangazo. Kwa single movie moja ni 25000/= na kwenye season epsod moja ni 10000/=.
Tunapatikana DODOMA changombe au kwa namba ya simu ni 0684316629/0623397033. Matangazo haya yatasikika kwa sauti na Movie za Babu DJ tu.