Ni kwel kabisa wadudu kama mende na black soldiers n fursa kubwa lakn changamoto kubwa ni upokeaj wake yaan mob psychology hasa kwa africa
Wadudu hawa hutumika kama
Chakula kwa mifugo hasa hasa, mifugo ya kuku na samaki
Hawaitaji mtaji mkubwa sana kwani wanakula wastes yaan taka kama mabaki ya vyakula ambavyo huwez kununua utakusanya tu majumbani pia kwakuwa wadudu hawa wanapatikana kirahisi kwenye jamii zetu katika maficho yao unaweza wapata bila garama kwa ajili ya kuwafuga
Garama utakazokutana nazo ni za uzalishaj zikiwemo kutengeneza banda lao na baadh ya vifaa vya kuzalishia basi zaid ya hapo wewe ni kuwalisha tu
Masoko yake makubwa n kwenye viwanda vinavyo tengeneza vyakula vya mifugo hasa!
Sent using
Jamii Forums mobile app