Fursa ya uwekezaji wa kilimo cha umwagiliaji

Fursa ya uwekezaji wa kilimo cha umwagiliaji

domiii

Member
Joined
May 29, 2014
Posts
72
Reaction score
24
Kulingana na kichwa hapo juu.Kwa kifupi nina shamba lenye ukubwa wa ekari sita, shamba hilo limezungukwa na maji ya mto usiokauka kwa vipindi vyote vya mwaka. Eneo hilo hulimwa mbogamboga au mazao ya muda mfupi kama kilimo cha nyanya, hoho, karoti na mahindi ya muda mfupi.Katika shamba hilo kuna nyumba yenye vyumba vitatu ambayo inawezakutumika kama store pia.

Shamba hilo liko eneo la Kahe mkoani Kilimanjaro. Ninachokihitaji hasa ni mwekezaji mwenye fedha tushirikiane kama partiner mimi nikiwa tayari na mtaji huo wa eneo potential lililozungukwa na maji pamoja na warehouse.Naimani tutapata mafanikio makubwa kwa muda mfupi kwani pamoja na hayo yote mimi ni mtaalamu wa uchumi na biashara kilimo.

Kwa aliyeko tayari tafadhali aniPM

Asanteni
 
Back
Top Bottom