Fursa za ajira na biashara Wilaya ya Masasi

loving

Senior Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
137
Reaction score
34
Ni matumaini yangu moo salama salimini.

Mimi ni Kijana mwenye nguvu na ninayependa kujishughulisha sana.

Natakiwa Nihame jiji moja Maarufu (Mwanza) na kuishi Masasi- Mtwara, kutokana na sababu mbalimbali. Wenye uelewa wa wilaya ya Masasi, naomba kujua Fursa za kazi au biashara zilizopo na mbinu za kufanikiwa kuzipata maana kukaa bila kazi naona ni tabu mnooo. Nawasilisha
 

kila lakheri
 
Fika masasi uwanja wa fisi, pale ndiyo downtown ya msasi, fika hasa nyakati za jioni na usiku, upastudy halafu wewe kama ni mjasilia mali lizima utabuni mbinu ya kuingia pale kibiashara. Mahala hapo ni nosleep area, kwenda kulala ni hiari yako unaweza kukesha mpaka asubuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…