Fursa za biashara Botswana

Delegate

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
331
Reaction score
201
Kama unataka kufanya biashara na Botswana tafadhali ni PM ili tuweze kuwasiliana
kuna biashara nyingi huko Tanzania za kuleta huku
kama una fedha na ungehitaji kutengeneza fedha nipo tayari tushirikiane
usihofu Botswana ni nchi nzuri kibiashara na kiusalama
 
Ungeweka angalau contact details zako japo simu no na\au email address, wengine mambo ya ku pm hatujui kabsaaa japo mabiz tunayataka\tunayaweza
 
sasa tutakusaidiaje kama huweki wazi aina ya biashara, usiwe mvivu wa kufikiria, eleza kwa undani unachotaka ili wanaume na wanawake wa tanganyika wakusaidie, unataka bomba la gesi mtwara hadi gaborone? kama vipi rudi nyumbani tunaambiwa uchumi sasa ni sawa na robo ya USA na hapo bado ile chama makini haijatia nanga magogoni, nyie mnao sujudu nchi za watu siku mkistuka mtakuta huku bongo watu walishamaliza kila kitu, mtabaki washangaaji ma skycrapers ya daslam mnapokuja kuchungulia wakati wa likizo zenu
 
Mkuu mwaga ugali tu hapa jamvini tumwage mboga ndo sera zetu huku kwenye uchumi/Ujasiriamali tueleze waziwazi ni aina gani ya biashara na mtaji kiasi gani yasije yakawa mambo ya mchungwa mmoja kubeba machungwa 4000
 
Ungeweka angalau contact details zako japo simu no na\au email address, wengine mambo ya ku pm hatujui kabsaaa japo mabiz tunayataka\tunayaweza

Wakuu details zangu hizi hapa
lema.jackson@gmail.com
cell no =267 73553246
kuna wakenya wengi wamejaribu kutaka kujua hili lakini naomba kuweka wazi sipo interested kufanya biashara na wao!
 
Wakuu details zangu hizi hapa
lema.jackson@gmail.com
cell no =267 73553246
kuna wakenya wengi wamejaribu kutaka kujua hili lakini naomba kuweka wazi sipo interested kufanya biashara na wao!

Mkuu una uhaba wa maneno. Mwagika ueleweke.
Tayari za aina zote kwa sh ngapi? Zinakuja kwa njia gani Tz. Mtaji sh ngapi? Utaratibu viza ukoje huko? Unataka watu wa kufanya nini hasa?
 
Mkuu una uhaba wa maneno. Mwagika ueleweke.
Tayari za aina zote kwa sh ngapi? Zinakuja kwa njia gani Tz. Mtaji sh ngapi? Utaratibu viza ukoje huko? Unataka watu wa kufanya nini hasa?

Botswana ni nchi nzuri kwa kuwekeza ,inabidi uwe na mtaji mkubwa sana , Kua biashara ndogo ngogo ziko maalumu kwa wazawa .Usitegemee ukafungua duka na nguo wakakupa permit ya kukaa hapo . Wako very strictly hata foreigners walioajiriwa hawarusiwi kufanya biashara yeyote ile kutokana na permit zao. Sio kama Bongo Wachina wanavyouza nguo kariakoo halafu mnawaita investors.
 
Duu!si mchezo!inabidi wenye interest ya kuwekeza huko wawe macho kupata info za kutosha.inaonekana kaburu kawaambukiza botswana kuwa strict. Manake nadhani foreigners walioko kwa kaburu wanakoma.

Ila nafikiri bado wenye nia hata km na mitaji midogo kuna hapa bongo mikoani, zimbabwe,mozambique,etc

wabongo bana... huyu aliyepost namfananisha na 'khatan' yule muuza michungwa..

sasa kwann usiweke details za kueleweka?
 
wabongo bana... huyu aliyepost namfananisha na 'khatan' yule muuza michungwa..

sasa kwann usiweke details za kueleweka?

haa haaa ... hivi jamaa ameishia wapi na longo longo lake la mchungwa mmoja kuzaa machungwa 4,000 kwa msimu

increadible
 
Mkuu ni wewe mwenye shida ya kumpata mjasilimali akusaidie shughuli zako za biashara, sasa matusi ya nini tena? Hao wachina wakifanya biashara kariakoo kuna ubaya gani? sisi hatuna roho mbaya kama hao watswana wala hatuna mpango wa kufungua duka la nguo botswana kwa sababu tumeridhika na maisha ya nyumbani kwetu, wenyewe tumezoea kubanana humu humu bongo, wewe mwenye tamaa ndo umekimbilia huko, bora ukomae huko huko tu achana na tanganyika umeisha ikimbia, cheza tu na hao wakenya manyang'au
 
mkuu Botswana kuna biashara gani hapo, mana naona watanzania wanaangaika na viatu vya mitumba tu ndio biashara yenyewe hiyo?
 
Mkuu umenichekesha sana kwamba mchungwa kubeba 4000!!! na huyu stail yake itakuwa kama ya mchungwa kuna kilichojificha
Mkuu mwaga ugali tu hapa jamvini tumwage mboga ndo sera zetu huku kwenye uchumi/Ujasiriamali tueleze waziwazi ni aina gani ya biashara na mtaji kiasi gani yasije yakawa mambo ya mchungwa mmoja kubeba machungwa 4000
 
Mkuu inaonyesha unaharasiwa sana huko machunguyako unataka kuwamalizia wachina wa kariakoo hujaona wazungu warabu wahindi wakenya wazimbabwe kilaina wapo hapa na kilamtu ana rizikiyake nenda gwanzoo ukaone kuna wabongo lukuki huko wanatafta maisha acha ujinga ongeeni biashara.
bongo The land with opportunity kwanza soma MOTO ni FREEDOM AND REUNION wewe umeshakuwa mbotswana tuachie bongo yetu na wachina wetu usilete matusi
 
Labda ungeanza kwa kutoa brief ya biashara unazofanya na jinsi ulivyoanza.
 
Vipi kuhusu ukimwi? nasikia jamaa wanaongoza Africa,ivi kwa mtu mpenda ngono kama mm nita dumu kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…