Fursa za biashara Botswana

Mkuu nimekusoma lakini sijaelewa hasa ulikuwa unataka kusema nini,naomba rudia kwa kiswahili fasaha
 
Delegate mkuu kwanini huweki info zote muhimu ulizoulizwa na wadau? Binafsi mimi naona kero,huchoki kila mtu kukuuliza maswali hayo hayo. Ungeweka info angalau ambao hawatataka proposal yako wasikujazie inbox yako.
 
Mkuu hakuna kitu hapo zaidi ya kutaka kutapeliwa tu, huwezi kuwekeza nchi kama Botswana hakuna Biashara yoyote, 90% ya raia wanategemea kazi za construction ambazo ziko funded na GOV, nje ya hapo Botswana ni nchi ngumu sana kuishi na kutafuta kipato kwa njia ya biashara, raia wanaendesha maisha kimikopomikopo tu, kila sehemu ni two month to pay au kununua vitu kwa instalment, cha ajabu hata kama unauza kiatu cha 200Pula, mnunuzi anakwambia atamaliza deni kwa miezi miwili
 
Write your reply...Africa ni yetu tanzania ndio yetu nchi haijitangazi bali sisi ndo hutangaza nchi yetu kwa pamoja tuwe wazalendo. hapa hapa bongo tutatoka!!!
 
Write your reply...Africa ni yetu tanzania ndio yetu nchi haijitangazi bali sisi ndo hutangaza nchi yetu kwa pamoja tuwe wazalendo. hapa hapa bongo tutatoka!!!
Watu mnajua kusakua...umeamua kufukua hii ya 2013
 
Write your reply...hahahahah! ni kwamb mr 2013 nlikuwa masomon olevel cmu xkuruhusiw nimeamua kuja kuchemsha mifupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…