Fursa za biashara Kati ya china na tanzania

Gamariel

Member
Joined
Sep 8, 2009
Posts
82
Reaction score
6
Wadau naomba kupata experience ya fursa ambazo zipi huko china. Naona na ninasikia watu wengi wakienda china wakifunga mizigi na kuja nayo tz. Tupeane ujuzi mtaji wa kwenda huko ni bei gani, fursa ni zipi, faida nk
 
Kwanza ujue kichina!
Halafu utaona tu fursa zinajileta..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…