mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 613
- 313
Habari waungwana wa JF.
Naomba kwa mwenye uwelewa na kuweza kubisaidia kwa nia safi anisaidie ili niweze kujikwamua.
Mimi ni mfanyabishara mdogo najishuhulisha na nguo za akina mama na watoto wa kike na kiume mara nyingi huja Dar kucgukua mzigo na kupeleka Pemba kuliko na kiduka changu.
Mwezi huuu jimepanga nisafiri kuelekea Mombasa (Kenya) kwa ajili ya kuangalia vijora, magudeli na viguo vya kitoto ila pia nilikua nataka kuenda kampala(Uganda) nimesikia kwa huko nguo ni rahisi pia.
Mtaji wangu si zaidi ya M5 kila kitu nitowe humo nauli na kila kitu.
Naomba msaada wa mawazo kwa mtu anaejua kama ifuatavyo:-
1. Wapi baweza kuenda na nikafanya biashara vizuri nikaja nikapiga faida?
2. Jeee bank kama CRDB na NMB nikiwa na mastercard ama Visa card naweza kupata huduma nikiwa nchi hizo?
3. Makato ya Bank si makubwa kama naweka Tsh katika Acount yangu?
4. Uharamia jeee njiani sio mwingi maaana naenda tuuu kwa kua ni mtoto wa kiume lakini sina mwenyeji katika nchi zote hizo?
5. Kama kuna mfanyabiashara anafanya hio kazi kama yangu ama anaweza kuniungalisha na whole sale treader anisaidie
Natanguliza shukrani.