Fursa za biashara nchi ya Thailand

Nimejaribu kutafiti gharama ya nauli kwenye mtandao, kwa safari ya August ukibook leo unaweza kupata kwa USD 700 na kidogo hiyo ni return ticket.

Mkuu najipanga kwenda 1st Nov. Je wewe unategemea kwenda huko?
 

bobby ni pm na mimi
 


Ubarikiwe sana kaka mpendwa. Watu kama nyinyi ni wachache sana bongo yetu hii......kikwazo kikubwa ni TRA. Nimependa sana wazo na ninafikiria kwenda na mimi ili kupunguza takwim za umasikini.
 
Ubarikiwe sana kaka mpendwa. Watu kama nyinyi ni wachache sana bongo yetu hii......kikwazo kikubwa ni TRA. Nimependa sana wazo na ninafikiria kwenda na mimi ili kupunguza takwim za umasikini.

Funga safari utajionea fursa mbalimbali ata ambazo hujafikiria bado kufanya
 
jamani mi nahitaji mwanamke mwenye uzoefu wa huko, aniambie siku anayokwenda kuchukua mzigo niongozane nae akanipe uzoefu. ntamlipia ticket ya kwenda na kurudi ila malazi na chakula atajitegemea. NB. Awe mwanamke, na mimi ni KE

Ubaya wa kwenda na Mwanaume ni upi ndugu....! nahisi ubaguzi hapa....
 
Pamoja ...

mdau Money Stunna me nna maswali kadhaa,je mzigo naoununua ntauleta kwa njia ya meli au ntakuja nao kwa ndege???
Swali lingine,labda napaswa kuwa na mtaji wa kuanzia shilingi ngap???,swali lingine utaratibu wa kupata visa upoje???je Thailand wana ubaloz hapa Tanzania???
 
Last edited by a moderator:

Kuhusu usafiri kuleta mzigo inategemea na mzigo wenyewe siwezi kwambia ndege wakati unaleta gari.

Pia mtaji inategemea na kitu unachofata siwezi kwambia million 4 wakati unafata gari.

Visa kupata ni rahisi ongea na kampuni zinazokatisha ticket watakwambia issue nzima na gharama na wakati gani gharama zinakuwa chini
 
Last edited by a moderator:

binafsi nazungumzia bidhaa za kawaida kama vile nguo,viatu na vitu vya mapambo kwenye nyumba like maua,na hapo ndo napenda kujua mtaj wa kuanzia
 
jamani mi nahitaji mwanamke mwenye uzoefu wa huko, aniambie siku anayokwenda kuchukua mzigo niongozane nae akanipe uzoefu. ntamlipia ticket ya kwenda na kurudi ila malazi na chakula atajitegemea. NB. Awe mwanamke, na mimi ni KE

Mdada wala usigharimike kumgharamia mtu ticket, tukiamia sisi wenyewe wanawake tunaweza tukajiorganise tukaenda make humu wajasirimali tupo wengi tu.

Nafikiri tuwasiliane wale ambao tunahitaji kwenda huko ili tufanye booking mapema.

Waione: amu, Kaunga na Smile
 
Last edited by a moderator:
Utakua ulienda na Falcon au Friens bus Company, yap uzi huu umesaidia wengi sana sema hawaleti mrejesho na kuhusu Thai mtafute Bobby kama alifanyia kazi, fursa nje ziko nyingi sana sema watu ni waoga cjui kwa nini?




Shukrani sana mkuu Money Stunna, kuna uzi ulikuwa unahusu Biashara ya kwenda Uganda uzi huo umenisaidia sana na pia ntautumia uzi huu wa Thai kwenda huko....

Jamani tusiogope kabisa, fursa ndio hizi!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…