Fursa za biashara TZ-Uganda

Fursa za biashara TZ-Uganda

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,312
Reaction score
3,345
Nianze kwakumshukuru Mungu ambae mara zote ameendelea kuifanya JF kama kisiwa cha habar mbalimbali.Naomba kwa yeyote mwenye ufahamu wa biashara kati ya hizi nchi mbili anifahamishe nipate kuerevuka.
Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom