Evarest cath
Member
- Feb 25, 2019
- 14
- 13
Salama tu.Habari ya wakati huu wapendwa.
Ni fursa nyingine kubwa kwa wale mafundi ujenzi na wasaidizi wa kazi hizo (saidia fundi). Tunahitaji mafundi wenye uzoefu wa kujenga; kuanzia kujenga tofali mpaka kupiga plaster na ambao wanajua ubora wa kazi na wana nidhamu ya kazi...
Sawa ngoja nikupigie
Habari ya wakati huu wapendwa.
Ni fursa nyingine kubwa kwa wale mafundi ujenzi na wasaidizi wa kazi hizo (saidia fundi). Tunahitaji mafundi wenye uzoefu wa kujenga; kuanzia kujenga tofali mpaka kupiga plaster na ambao wanajua ubora wa kazi na wana nidhamu ya kazi.
Kazi zetu sio za kufanya siku moja wala mbili bali ni kazi za muendelezo.
Mafundi watapata pia nafasi ya kujifunza mambo mengi kutoka kwa wataalamu wetu.
Tunapatikana Kibaha, Misugusugu.
Kwa maelezo zaidi tafadhali piga simu 0672629292