Fursa za kibiashara Kahama

Fursa za kibiashara Kahama

stanleyRuta

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
851
Reaction score
519
Wakuu naomba kujulishwa fursa za kibiashara zilizopo kahama ukiondoa mining industry.Naombeni mnishauri nifanye biashara ipi wakuu.
 
Chukua maji ya kilimanjaro,jaza kwenye semi,peleka.
kila kitu kinauza soko kubwa kule provided una mtaji.
 
Back
Top Bottom